mshambuliaji wa Marseille ya ufaransa Michy Batshuayi (23)ametia saini mkataba wa miaka mitano kuichezea Chelsea inayoongozwa na kocha Antonio conte.michy anakuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na klabu na meneja huyo mpya alishika nafasi ya Jose mourinho ambaye alitimuliwa kutokana na klabu hiyo kuwa na mwenendo mbaya katika ligi ya EPL.Mchezaji huyo aliyeigharimu Chelsea Euro milioni 40 ana asili ya kutoka nchi ya Congo lakini kwa sasa amechagua kuichezea timu ya taifa ya UBELGIJI.
Monday, July 4, 2016
Subscribe to:
Posts (Atom)

